The legend Professor Jay post this about Muziki hit maker, Darassa Unknown 10:58 PM BONGO , CELEBRITIES Edit See below what legend Professor Jay post: Mdogo wangu @darassacmg Imani yako, Kutokukata tamaa na Struggle yako ya Usiku na Mchana ndio imekufanya ufikie hapo ulipofikia, Nakumbuka wakati unashoot Wimbo wako wa USIKATE TAMAA uliniambia unatamani ufikie level za juu kama zetu, Nami nilikwambia hakuna kinachoshindikana chini ya JUA Ukiset GOALS, kufanya kazi kwa bidii na SALA yote Yanawezekana, Naamini kwa style hii ya JIWE juu Ya JIWE, NDOTO yako inakwenda kuwa kweli, Cha MSINGI usiridhike na mafanikio haya..HUU ni mwanzo tuu na mafanikio makubwa zaidi yako at your DOOR, Keep your eyes open and Keep ya HEAD UP, SKY IS THE LIMIT, GO GET DEM... BLESS #ACHA MANENO WEKA MUZIKI @darassacmg @darassacmg A video posted by Professor Jay (@professorjaytz) on Dec 13, 2016 at 7:17am PST Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment